Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta
Umepakuliwa mara 753 | Umetazamwa mara 2,681
Download Nota Download MidiKiitikio (Yoh. 6:63)
Roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu, maneno hayo niliyowaamia ni roho tena ni uzima.
Mabeti (Zab.18:8-10)
1. Sheria ya Bwana ni kamilifu huiburudisha nafsi,ushuhuda wa Bwana ni amini humtia mjinga hekima
2. Maagizo ya Bwana maagizo ya Bwana ni ya adili huufurahisha moyo amri ya Bwana ni safi huyatia macho nuru.
3. Kicho cha Bwana ni kitakatifu kina dumu milele hukumu za Bwana ni kweli zina haki haki kabisa.