Ingia / Jisajili

Mbegu Nyingine

Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta

Umepakuliwa mara 918 | Umetazamwa mara 3,272

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Mbegu nyingine mbegu nyingine, zikaanguka zikaanguka; (penye udongo udongo ule mzuri, zikamea zikamea zikazaa zikamea zikazaa sana) x2.

BETI

1.Umeinijilia nchi na kuistawisha, mto wa Mungu umejaa maji.

2.Wawaruzuku watu nafaka maana ndiwe uitengenezaye ardhi.

3.Umeuvika mwaka taji ya wema wako, mapito yako yadondoza unono.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa