Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 14,605 | Umetazamwa mara 24,984
Download Nota Download MidiRoho yangu Yesu inakutamani njoo kwangu Yesu unipe heri x2
1. Nakupenda kwani wewe mwema uniimarishe siku zote
2. Uje kwangu Yesu nakungoja kwani wewe urafiki mkuu
3. Maumbo ya mkate na divai umo ndani kweli nasadiki
4. Na uzidi Yesu kuwa name unipe uzima wa milele