Ingia / Jisajili

Sadaka Tunayokutolea

Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 515 | Umetazamwa mara 786

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka tunayokutolea upokee twakuomba Baba ikupendeze ilipize makosa yetu X2

1. Sadaka tunayokutolea ni heshima kwako twakutolea

2. Sadaka tunayokutolea matunda ya kazi tunazofanya

3. Sadaka tunayokutolea kazi za mikono uzibariki

4. Sadaka tunayokutolea kazi za mikono uzipokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa