Mtunzi: Peter Masika
> Mfahamu Zaidi Peter Masika
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Masika
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Peter Masika
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download Midi Sadaka ya Moyoni by .Peter Masika
(Ninaleta mbele zako sadaka ya moyo wangu kwa upendo,upokee sadaka )*2
1.Kila nilicho nacho ni zawadi yako pokea twakurudishia kwako kwa shukrani.
2.Tumejawa na moyo wa shukrani kwa mema yote kwa moyo wa unyenyekevu twakupa.
3.Iwe sadaka safi ya kukupendeza e baba Ipokee baba nauibariki.