Ingia / Jisajili

Siku Ile Niliyokuita

Mtunzi: Peter Masika
> Mfahamu Zaidi Peter Masika
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Masika

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Peter Masika

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                   SIKU ILE NILIYOKUITA   by.Peter Masika

                     *Siku ile niliyokuita uliniitikia ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu*x2

1.Nitakushukuru e Bwana kwa moyo wangu wote,mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.

2.Nitasujudu nikilitabiri hekalu lako takatifu,nitalishukuru jina lako.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa