Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 1,635 | Umetazamwa mara 5,669
Download Nota Download MidiWimbo-;
Sadaka Yangu hii ya leo ikupendeze Bwana ikupendeze (Bwana)
Sadaka Yangu hii ya leo ikupendeze Bwana ikupendeze.×2
Mashairi-;
1.Ee Mungu Baba upokee Mazao ya shamba yakupendeze.
2.Ee Mungu Baba upokee na fedha zetu zikupendeze.
3.Mkate pia na divai naleta kwako vikupendeze.