Mtunzi: Johnstone sebastian
> Mfahamu Zaidi Johnstone sebastian
> Tazama Nyimbo nyingine za Johnstone sebastian
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Johnstone Sebastian
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 19
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 Mwaka A
Sadaka yetu tunayokutolea Bwana ,
Tunakuomba Baba uipokee sasa, uipokee uipokee sadaka tunayokutolea Baba uipokee.x2
1. Tunaleta mazao ya mashambani, tunakuomba Baba uyapokee
2. Fedha na dhahabu tunazokutolea vyote hivi ni mali yako