Mtunzi: Mwl. Mwanisawa C.B.
> Mfahamu Zaidi Mwl. Mwanisawa C.B.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwl. Mwanisawa C.B.
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: CLEOPHACE MWANISAWA
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiBwana pokea sadaka leo tunazo kutolea [siku ya leo]
Bwana pokea sadaka leo tunazokutolea
Twaomba tubariki ...Twaomba tutakase... Japo nikidogo
Twaleta ipokee mungu wetu