Ingia / Jisajili

Nikushukuruje Mungu

Mtunzi: Mwl. Mwanisawa C.B.
> Mfahamu Zaidi Mwl. Mwanisawa C.B.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwl. Mwanisawa C.B.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: CLEOPHACE MWANISAWA

Umepakuliwa mara 240 | Umetazamwa mara 638

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nikushurukuje mungu wimbo gani niimbe kama asante (asante) sina neno jipya nashukuru(asante) asante kwa wema wako asante kwa jinsi nilivyo hivi... maimbilizi. 1.a) Ninapumua na kujongea kila siku, fahamu zangu za waza ukuu wako asante b) Mwili wangu ulivyo dhaifu ningea nguka, bwana hunipigania siku zote asante. 2. a) Ee mungu uliyeniumba nikuabudu, unifanye nikujue nikupende asante b) Nilihimidi jina lako milele yote, maana neema bure umenipa asante.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa