Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,710 | Umetazamwa mara 4,666
Download Nota Download MidiKiitikio:
Sadaka yetu Bwana tunaleta Ee Bwana (Twakuomba) upokee Ee Bwana, Sadaka ya mkate na divai Ee Bwana (Twakuomba) upokee Ee Bwana. (Sadaka ya mkate pia divai Bwana pokea X2)
Wote: Ee Bwana yote mali yako ipokee ikupendeze Bwana.
IV.Pokea Bwana sadaka ileile upokee sadaka
II.upokee sadaka zetu Ee Bwana pokea sadaka zetu
III. pokea Bwana sadaka zetu
I.upokee sadaka
Wote: Ee Bwana yote mali yako ipokee ikupendeze Bwana hiyo Sadaka,
VI.Pokea Bwana sadaka ileile upokee sadaka
II.upokee sadaka zetu Ee Bwana pokea sadaka zetu
III. pokea Bwana sadaka zetu
I.upokee sadaka
Maimbilizi:
1. Pokea sadaka hii, twaleta kwako kwa unyenyekevu kwa upole, kwa ukarimu twaleta kwako Bwana upokee.
2.Bwana uupokee Moyo wangu naleta pendo na uzima wangu Bwana, pokea vipaji Bwana naleta kama vya Abel