Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 11,081 | Umetazamwa mara 20,135
Download Nota Download MidiUwape Ee Bwana, raha ya milele, mwanga wa milele, uwaangazie.
1. Yatupasa kukusifu Ee Bwana na kukutolea sadaka.
2. Ee Bwana sikiliza sala yangu kwako kila mwanadamu akimbilia.
3. Kama Kristu alivyokufa, akafufuka, vivyo hivyo na walio lala katika Kristu Mungu atawaleta pamoja naye.
4. Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa kadhalika na katika Kristu wote watahuishwa.
5. Mungu aliye mfufua Yesu katika wafu, Ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa kwa njia ya Roho wake anayekaa ndani yenu.