Ingia / Jisajili

Sakramenti Kubwa

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 499 | Umetazamwa mara 1,163

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
||: Pendo gani lisilopimika Sakramenti hi-- Kubwa:|| Mkate kiini cha ngano Uwekwangu Bwana Wangu, Divai tunda la mzabibu Uwekwangu Bwana Wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa