Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Martin Munywoki
Umepakuliwa mara 11,098 | Umetazamwa mara 20,907
Download Nota Download MidiPasipo makosa Mkombozi wetu,
Katika baraza ya wakosefu,
Na wote walia ‘asulibiwe’,
Aachwe Baraba na Yesu afe *2
2. Ee Yesu washika msalaba wako,
Na unakubali kufa juu yake,
Ee Yesu useme sababu gani,
Ya nini mateso makali haya? *2
3. Ni pendo kwa Bwana wa uwinguni,
Ni huruma yangu kwa wakosefu,
Ewe mkristu kumbuka mateso yangu,
Uache makosa, uache dhambi *2