Mtunzi: Gustav G. Hofi
> Mfahamu Zaidi Gustav G. Hofi
> Tazama Nyimbo nyingine za Gustav G. Hofi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Gustav Hofi
Umepakuliwa mara 1,664 | Umetazamwa mara 4,940
Download NotaSala yangu ee Bwana ipae mbele yako kama moshi wa ubani.
1. Ee Bwana uipokee sadaka yangu ninayokutolea kama shukrani yangu, nakuomba ipokee na uibariki Bwana.
2. Ee Bwana uzipokee dhabihu zetu tunazokutolea kama shukrani zetu, twakuomba ubariki kazi za mikono yetu.
3. Ee Bwana uzipokee nia nayo maombi tunayokutolea kutoka mioyoni mwetu, tutendee sawasawa na maombi yetu Bwana.
3. Ee Bwana uzipokee pia na nafsi zetu utufanye tuwe watumishi wako siku zote, tuzitende kazi zako kwa uaminifu wote.