Ingia / Jisajili

Sauti Yao Yaenea

Mtunzi: Fr. B. Songoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. B. Songoro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 2,431 | Umetazamwa mara 3,854

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sauti yao yaenea katika nchi nzima, Aleluya Aleluya. 1. Na maneno yao/ Yaenea hata miisho ya ulimwengu. 2. Ni jambo la kupendeza mno/ kuja kwa wale wanaohubiri habari njema. 3. Mavuno ni mengi/lakini wavunaji ni wachache. 4. Ponyeni wagonjwa, waambieni/utawala wa Mungu umekaribia kwenu. 5. Nendeni/wafanye watu wote wawe wafuasi. 6. Wafundisheni/kushika maagizo yote niliyowapeni. 7. Nami nipo pamoja nanyi siku zote/naam, mpaka mwisho wa nyakati

Maoni - Toa Maoni

Huu ni wimbo wa Fr.Thomas Eriyo Dec 29, 2022
Ni mzuri

Lucas Mkingi Sep 24, 2021
Huu wimbo sio wa Fr Songoro ni wa Fr Thomas Erio

Toa Maoni yako hapa