Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,267 | Umetazamwa mara 8,323
Download Nota Download MidiShamba la mizabibu la Bwana shamba la mizabibu la Bwana shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba ya Israeli x2
1. Ulileta mzabibu mmoja kutoka nchi ya Misri ukawafukuza mataifa ukapanda mche wake
2. Nao uliyaeneza matawi yake hata baharini na chipukizi vyake hata kunako mito ya maji
3. Kwanini Ee Bwana umezibomoa kuta zake wapitao njiani wachuma matunda yake na haya wani wanauharibu
4. Basi Ee Bwana wa majeshi tunakusihi urudi uutazame mche huu utuhuishe nasi tutaliitia Jina lako