Ingia / Jisajili

Mpigieni Mungu Kelele Za Shangwe (Katikati 6A Pasaka)

Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,808 | Umetazamwa mara 6,114

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mpigieni Mungu kelele mpigieni Mungu kelele za shangwe enyi nchi yote mwambieni Mungu matendo yake yanatisha kama nini x 2

  1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe enyi nchi yote tukuzeni sifa zake tukuzeni sifa zake.
     
  2. Nchi yote itakusujudia ee Bwana na kukuimbia, italiimbia jina lako wewe kwa kelele za shangwe.
     
  3. Njoni tazameni matendo makuu ya Mungu, hutisha kwa mambo awatendao wanadamu atawala kwa uweza wake milele na milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa