Ingia / Jisajili

Shangwe Mwokozi Kafufuka

Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Aloyce Family

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 10

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1.Nishangwe leo, kwetu waamini , kwani kaburi, liko wazi kweli mwokozi wetu leo kafufuka (kafufuka) tuimbe kwafuraha,×2 kamshinda ibilisi kamshinda ,natuimbe kwafuraha Aleluya, minyororo yashetani kaivunja tangu sasa tuko huru Aleluya×2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa