Ingia / Jisajili

Shangwe Na Vigelegele

Mtunzi: Jacob M. Urassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Jacob M. Urassa

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Furaha Mbughi

Umepakuliwa mara 3,250 | Umetazamwa mara 6,612

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Thomas Emmanuel Jan 24, 2023
Nakupongeza Sana mtunzi uliutendea haki wimbo

Joseph Mulwa Jan 07, 2019
Niliusikia wimbo huu sehemu Fulani ya Dekania zetu za Jimbo Katoliki LA Machakos. Niliupenda sana na japo nilikuwa nafanya maamuzi ya michezo ya sikukuu ya Krismasi, nilipenda niukumbuke baadae ndipo niweze kuutafuta. Hongera sana mtunzi wa wimbo huu.

Toa Maoni yako hapa