Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Himery Msigwa
Umepakuliwa mara 897 | Umetazamwa mara 3,534
Download Nota Download MidiKIITIKIO
sheria yako naipenda naipenda naipenda sheria yako naipenda mno ajabu
naipenda sheria yako naipenda mno ajabu ,naipenda sheria yako naipenda mno ajabu
MASHAIRI.
1.Bwana ndiye aliye fungu langu nimesema kwamba nitayatii maneno yako.
2.Fadhili zako ziwe faraja kwangu sawasawa na ahadi zako kwa mtumishi wako.
3.Nimeyapenda maagizo yako kuliko dhahabu iliyo safi.
4.Shuhuda zako nizaajabu ndiyo maana roho yangu imezishika.