Mtunzi: CHAMA HOKORORO
> Mfahamu Zaidi CHAMA HOKORORO
> Tazama Nyimbo nyingine za CHAMA HOKORORO
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: Chama C. Hokororo
Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 27
Download Nota Download MidiShusha neema zako Bwana (Mungu wetu) shusha neema zako Bwana (Mungu wetu) shusha neema zako Bwana, shusha Bwana tufurahi.
1. Utuoneshe rehema zako utubariki, pokea sala na nia zetu uzipe nguvu, shusha Bwana tufurahi.