Ingia / Jisajili

Sibaki Kitini

Mtunzi: Credo Mbogoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Credo Mbogoye

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali

Umepakuliwa mara 21,643 | Umetazamwa mara 28,272

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Benignus Githaka Jan 27, 2022
Kazi njema. Hongera!

James Aug 13, 2021
ingekua heri ungeandika...Siwezi kubali kubaki kitini

Frank Alex Dec 07, 2020
Hongera Sana bro Mungu azidi kukuongezea karama zaidi ???

Ferdinand M. Moriasi Oct 31, 2019
Wizani nzuri ajabu. Mungu akuongeze nguvu katika karama yako ya utunzi.

Emmanuel Jun 23, 2019
Credo Hongera sana kwa karama hii ya melody na maneno mazuri katina wimbo huu. Moja kati ya nyimbo chache zitakazoimbwa kwa muda mrefu bila kuchuja. Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.

Lawrence Auka Asa Dec 03, 2017
kwa maoni yangu naonelea kwa stanzas ungemalizia"kwa nini nisinyanyuke nimtolee sadaka" badala ya "kwa nini nisinyanyuke nimshukuru Mungu" this song is so sweet its rich in harmony,. na ni vizuri ukauweka ukafaa kwa sadaka kwa sababu umetulia vizuri,,, hata mwenye hatakangi kutoa sadaka hapo inamnidi anatoa,, God bless u Credo.

Toa Maoni yako hapa