Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 693 | Umetazamwa mara 2,972
Download Nota Download MidiSIFA NA SHUKRANI KWA SAKRAMENTI TAKATIFU
SI FA NASHUKRA- NI ZI WE, ZIWE SIKU ZOTE KWA SAKRAMENTI
TAKATIFU TAKATIFU MNO YA- - MU NGU. x2
1. M SI FU NI BWANA E NYI MATA I FA YO TE, MTANGAZE NI E NYI MA KA BI LA YOTE.
2. KWA MAA NA HURUMA YAKE I METHIBITIKAJUU YETU, NAUAMINIFU WA BWANA WADUMU HATA MILELE.
3. ATUKU ZWE BA BA NA MWANA NA ROHO MTAKATI FU, KAMAMWANZO NASASA NASIKU ZOTE NAMILELE. AMINA.