Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 1,587 | Umetazamwa mara 4,853
Download Nota Download MidiBwana Asema mawazo
Bwana Ase-ma; Mawazo ninayo wawazia ninyi, ni mawazo ya Amani, wala si ya mabaya x2.
Mashairi
1. Nanyi mtaniita, nami nitawasikiliza, nami nitawasikiliza, nami nitawasikiliza; nitawasikiliza.
2. Nitawarudisheni, nami nitawarudisheni, kutoka ma - hali pote, watu wenu waliofungwa; watu waliofungwa.
3. Mawazo - ya Bwana, nimawazo ya A- mani, nimawazo - ya Amani, nimawazo - ya Amani; wala si ya mabaya