Ingia / Jisajili

SIKU HII NDIYO ALIYOIFANYA BWANA Zaburi 118

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 513 | Umetazamwa mara 1,520

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, tutaishangilia na kuifurahia, tutaishangilia na kuifurahia. 1.Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele, Israeli na aseme sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele. 2.Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu, sitakufa bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo ya Bwana. 3.Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni. neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni la ajabu machoni petu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa