Ingia / Jisajili

HARAMBE

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 727 | Umetazamwa mara 2,141

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiit: Harambe ndugu wakati sasa umefika, papaseni mifukoni hata kama ni kidogo, tukatoe michango yetu kwa pamoja kwa umoja, na twende tukatoe ili tujenge kanisa letu. 1.Tupande milimani, twendeni tukate nguzo, tushuke mabondeni na tukakate nafito, tujenge kanisa letu tujenge jamii yetu. 2.Tupande milimani twende tukasombe mawe, tushuke mamboneni twende tukasombe mchanga, tujenge kanisa letu tujenge jamii yetu. 3.We Baba na we Mama hima twende tukatoe, vijana na watoto hima twendeni wote, tujenge kanisa letu tujenge jamii yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa