Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Matawi
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 883 | Umetazamwa mara 2,708
Download Nota Download MidiSiku sita kabla ya Pasaka Bwana alipoingia mjini Yerusalemu, Watoto walimlaki nao walichukua matawi ya mitende mikononi, wakapaza sauti wakisema Hosana juu Mbinguni mbarikiwa wewe uliyekuja na wingi wa rehema yako