Ingia / Jisajili

Wastahili Kusifiwa

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 977 | Umetazamwa mara 3,235

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wastahili kusifiwa na kutukuzwa Milele (Dan 3:52 - 56)


Maoni - Toa Maoni

Albert Maneno Jun 05, 2017
Samahani wimbo huu nimeurekebisha kidogo kwenye sauti ya kwanza ya juu wanaonza kuimba "Wastahili Kusifiwa..." kuliku wa na makosa kwenye kunakila jinsi wanavyoishia...inapaswa waishie sawa tu na sauti ya kwanza ya pili (la so fa so mi na sio fa mi re mi do) ...ila tofauti tu wao wanakata na hivyo hawaimbi neno " .....le" la mwisho kwenye "Milele" ili wapate pumzi ya kuanza tena wimbo kwa nguvu stahili.

Toa Maoni yako hapa