Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta
Umepakuliwa mara 3,379 | Umetazamwa mara 8,859
Download Nota Download MidiSiku sita kabla ya Pasaka wakati Bwana alipoingia Yerusalem, watoto wa Mayahudi walimlaki Bwana X2
Mabeti
1.Nao walichukua matawi ya mitende mikononi mwao wakapaaza sauti zao wakisema hosana mbinguni.
2.Mbarikiwa wewe uliyekuja na wingi wa rehema.