Ingia / Jisajili

Siku Ya Hamsini Aiyeye Aiyoyo

Mtunzi: Fidelis Mawona
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis Mawona

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,756 | Umetazamwa mara 5,746

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Siku ya hamsini aiyeye aiyoyoo Roho Mtakatifu aiyeye aiyoyoo
(alishuka kwa mitume iyo Mitume akawajalia nguvu iyo mitume) x 2

  1. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakasema lugha nyingi, Mitume.

  2. Roho aliwawezesha, kusema Matendo makuu ya Mungu, jueni.

  3. Petro kasema kwa nguvu, jamani tubuni makosa yenu, ni vema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa