Mtunzi: Fidelis Mawona
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis Mawona
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,899 | Umetazamwa mara 5,207
Download Nota Download MidiTunakujia Ee Bwana twakutolea vipaji, twakutolea sadaka, (tunakuomba pokea kweli vipaji pokea, pokea. Tunakupa sadaka, sadaka, sadakaa upokee sadaka Bwana tunakupa sadaka) x 2.
Mashairi:
1. Tunakupa mkate, tunkupa divai, tunakupa sadaka Bwana upokee sadaka.
2. Tunakupa na sala, tunakupa maombi, tunakupa sadaka Bwana upokee sadaka.
3. Tunakupa na fedha, tunakupa mazao, tunkaupa sadaka, Bwana upokee sadaka.
4. Tunakupa heshima, tunakupa na sifa, tunakupa sadaka, Bwana upokee sadaka.