Mtunzi: Fr. Aloyce Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Aloyce Msigwa
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Martin Munywoki
Umepakuliwa mara 10,558 | Umetazamwa mara 18,373
Download NotaSilaha Yangu Msalaba
Silaha yangu msalaba (msalaba msalaba) * 2
1. Silaha yangu msalaba katika mateso yote
Naubeba kijasiri nasonga mbele mbele (mbele mbele)
Naubeba kijasiri nasonga mbele mbele
2. Silaha yangu msalaba katika furaha yote
3. Silaha yangu msalaba katika wito wangu
4. Silaha yangu msalaba katika kazi zote