Ingia / Jisajili

Simameni Nyote Tujenge Kanisa

Mtunzi: Fabianus L.m. Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabianus L.m. Kagoma

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,476 | Umetazamwa mara 5,158

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Simameni nyote simameni, simameni ninyi nyote tuchangie kanisa la Bwana
Simameni nyote simameni, simameni ninyi nyote tukatoe sadaka kwa Bwana
Twendeni sote twendeni, twendeni sote twendeni sote tujenge kanisa la Mungu wetu x 2

  1. Tupeleke nazo fedha, twende tupeleke na mazao yetu twende tupeleke na mifugo twende tujenge kanisa la Mungu wetu.
     
  2. Tupeleke na uhai wetu, Tupeleke na Furaha zetu, Tupeleke na shukrani zetu, Tujenge Kanisa la Mungu wetu.
     
  3. Tupeleke shida zetu twende, Tupeleke na maombi twende, Vyote kwetu mali yake twende, Tujenge Kanisa la Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa