Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 746 | Umetazamwa mara 3,483
Download Nota Download MidiSina budi kusema neno asante kwa yote mengi aliyonitendea×2 We Mungu asante Ee Mungu nasema asante×2
Mashairi.
1.Umenijalia Afya ya Roho na mwili Ee Mungu Asante.
2.Wanilinda Sikh zote za maisha yangu Ee Mungu Asante.
3.Wasikiliza shida zangu nikuombapo Ee Mungu Asante.