Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 12,133 | Umetazamwa mara 21,796
Download NotaALHAMISI KUU MISA YA JIONI
BY: G.F.KAYETTA
Sisi lakini inatupasa kuona fahari kwa msalaba wa Bwana wetu fahari kwa msalaba wa Yesu Kristu
1. Sisi lakini inatupasa kuona fahari juu ya msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristu
2. Yeye ndiye wokovu uzima na ufufuo wetu nasi tumeokolewa na kusalimishwa naye
3. Nao walio wa Kristu Yesu wameusulubisha mwili, pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake