Mtunzi: Eng. Imani Raphael M. B.
> Mfahamu Zaidi Eng. Imani Raphael M. B.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Imani Raphael M. B.
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Raphael Imani M.B.
Umepakuliwa mara 581 | Umetazamwa mara 3,045
Download Nota Download MidiSimama (Mkristu) simama (mkristu) linda imani yako, linda imani yako usiyumbishweyumbishwe x 2
Linda imani yako na usitangetange, litangaze neno lake Mungu lihubiri kwa unyenyekevu x 2