Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Lawrence Nyansago
Umepakuliwa mara 985 | Umetazamwa mara 4,048
Download Nota Download Midi1. Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakiishi kwa umoja||x2 ni kama mafuta mazuri sana kchwani yanayo tiririka tiririka hata ndevuni ndevu za Haruni.||x2
2. Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakiishi kwa umoja||x2 ni kama umande wa Her(i)mon ushukao kutoka milima ya Sayuni penye Baraka uzima milele