Ingia / Jisajili

Tega sikio Upate Habari ya wokovu

Mtunzi: Maximilian L. Bukuru
> Mfahamu Zaidi Maximilian L. Bukuru
> Tazama Nyimbo nyingine za Maximilian L. Bukuru

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Maximilian Bukuru

Umepakuliwa mara 335 | Umetazamwa mara 926

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TEGA SIKIO UPATE HABARI YA WOKOVU Leo ndugu yetu tunakuletea, Habari ya Wokovu, Ujumbe wa Kweli lililotunzwa vizazi na vizazi, Fundisho juu ya Ukombozi hai wa roho yako, maarifa ambayo Roho wa Bwana Analifundisha Kanisa KIITIKIO Hebu tega sikio ulisikilie Neno hili, ni fundisho la Wokovu lijalo masikioni mwako ×2 MASHAIRI 1. Kupitia mtaguso wa kwanza wa Trento Kanisa lafundisa, ya kwa mba Masihi Yesu Kristu alijitoa kwetu,kwa kutupatanisha na Mungu dhidi ya dhambi na mauti, kutustahilisha yake mbigu kwa Sadaka yake Takatifu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa