Mtunzi: Mashamba Maximillian K. Mbj
> Mfahamu Zaidi Mashamba Maximillian K. Mbj
> Tazama Nyimbo nyingine za Mashamba Maximillian K. Mbj
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: maxmillian kapesa
Umepakuliwa mara 3,009 | Umetazamwa mara 5,655
Download Nota Download MidiTu watu wake na kondoo wa malisho yake Aleluya
1. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
mtumikieni Bwana kwa furaha
njooni mbele zake kwa kuimba.(K)
2 . Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu ;
ndiye aliye tuumba sisi tu watu wake;
Tu watu wake na kondoo wa malisho yake. (K)
3. Kwaku wa Bwana ndiye Mwema ;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.(K)