Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Mama Maria | Mwanzo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,019 | Umetazamwa mara 7,028
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Tufurahi sote katika Bwana tunapoadhimisha sikukuu kwa heshima ya bikira Maria x 2
MASHAIRI
1.Na ishara kubwa ilionekana mbinguni , mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake
na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili.
2.Atukuzwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.