Ingia / Jisajili

Tuingie Hekaluni

Mtunzi: Mike E. Achacha
> Mfahamu Zaidi Mike E. Achacha
> Tazama Nyimbo nyingine za Mike E. Achacha

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Mike Edwin

Umepakuliwa mara 74 | Umetazamwa mara 107

Download Nota
Maneno ya wimbo
Tuingie hekaluni. Mwanzo (Wakristu tuingie kwa furaha nyumba yake.) Tenor (Nyumba yake tuingie tumtolee madhabihu.) sop&alto Chorus Tuingie hekaluni, tumwabudu mungu wetu, sala zetu na sadaka tumtolee atubariki. 1.Sote tuijongee nyumba yake mwenyezi, tukamwabudu mwamba wa wokovu wetu. 2.Hii ndiyo siku aliyoifanya bwana, tuifurahie na kuishangilia. 3.Makasisi tangazeni ukuu wake, waamini shangilieni matendo ya bwana. 4.Ututakase ee baba tunakuja kwako, sisi tu wakosefu twakuomba radhi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa