Mtunzi: Ibrahim Nturama
> Tazama Nyimbo nyingine za Ibrahim Nturama
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: ernest opanga
Umepakuliwa mara 1,540 | Umetazamwa mara 4,556
Download Nota Download MidiTujongee meza ya Bwana tukale chakula cha mbingu ni mwili na damu ya Bwana x2
Aulaye mwili wangu (na kuinywa damu) ataishi milele yote x2
1. Mwili wa Bwana ni chakula cha mbingu twende tukale mwili wake
2. Damu ya Bwana kitulizo cha roho twende tukanywe damu yake
3. Aulaye mwili wangu ataishi ataishi milele yote