Maneno ya wimbo
TULIA NDANI.
MELI TAKATIFU NO.2
Usichungulie dirishani utadondokahuyo
samaki wa baharini asikudanganye-x2
(Tulia ndani) taratibu Meli Mbinguni ‘tafika
(Tulia ndani) raha zote huko ndiko utazipata x2
Kwa Mungu mbinguni.
Raha za dunia na fahari zake hazina maana ,
Zinakudanganya uyakose yale yaliyonona,
Bora kutulia uyapate mema nyumbani mwa Bwana,
Nenda na Kanisa kwa safari njema mpaka mbinguni
Usichungulie dirishani utadondoka- huyo samaki wa baharini asikudanganye-x2
(Tulia ndani ) taratibu Meli Mbinguni ‘tafika
(Tulia ndani ) raha zote huko ndiko utazipata x2
Kwa Mungu mbinguni.
0688 362 740
manwithequanimity@gmail.com
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu