Ingia / Jisajili

Tulijenge kanisa letu ki

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 351 | Umetazamwa mara 1,124

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kibwagizo() ndugu waamini wa parokia teule ya vijibweni twaalikwa na mama kanisa, kuchangia katika ujenzi was kanisa letu (ndugu waamini) kiitikio; tutoe kwa ukarimu sehemu ya Mali zetu alizotujalia mwenyezi mungu(aliyetuumba) kwani ujenzi was kanisa letu ( nduguwe) wategemea majitoleo yetu ( waamini) ewe baba, ewe mama tutoe kwa ukarimu, ewe kaka, ewe dada tulijenge kanisax2. (1) tumshukuru mungu kwa mema anayotutendea hivyo yatupasa kumjengea kanisa lake kama sehemu ya shukurani.(2) tumuombee mungu mwenyezi atutie nguvu ya imani katika kumjengea nyumba yake. ( Kibwagizo) ahe, ehe njoni tumjengee mungu nyumba yakex2 tumjengee mungu wetu tumjengee nyumbax5

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa