Ingia / Jisajili

Tumealikwa Twende

Mtunzi: Innocent

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 701 | Umetazamwa mara 2,337

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tumealikwa twende kwenye karamu ya Bwana karamuni twende tukale chakula x2

1.       Chakula cha mbingu ni wokovu wetu kinywaji cha roho ni wokovu wetu kula kwa pamoja (ni wokovu wetu) wale wateule (ni wokovu wetu) wokovu wetu X2

2.       Tusisite ndugu(ni wokovu we tu)furaha ya moyo (ni wokovu wetu),upendo wa kweli(ni wokovu wetu) kutoka mbinguni (ni wokovu wetu) wokovu wetu X2

3.       Yesu peke yake(ni wokovu wetu),Bwawa la uzima (ni wokovu wetu) milele milele(ni wokovu wetu) Amina amina (ni wokovu wetu) wokovu wetu X2

3.


Maoni - Toa Maoni

Paul Thadei Oct 31, 2019
Naweza pata Audio yake ama Tune yake!!??

Toa Maoni yako hapa