Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 595 | Umetazamwa mara 2,655
Download Nota Download MidiTumealikwa (twendeni) karamu takatifu karamu ya upendo chakula safi toka mbinguni tumealikwa sote karibu kwenye karamu takatifu kwa uzima wetu x2
1. Karibuni wote wenye mioyo safi Bwana awaalika kwenye karamu yake
2. Hiki ni chakula safi toka mbinguni ndio uzima wetu kwenye safari yetu
3. Tujitafakari kabla ya kujongea tunakula hukumu kama hatustahili