Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 595 | Umetazamwa mara 2,639
Download Nota Download MidiTumekula Mkate tumekunywa Divai; Tumekula Chakula tumekunywa Kinywaji katika fumbo kuu la Ekaristi. Bwana Yesu Twashukuru umetupa Uhai. Kwa kushiriki Karamu yako twapata uzima wa Milele.