Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nani

Mtunzi: Odax Njuguma
> Mfahamu Zaidi Odax Njuguma
> Tazama Nyimbo nyingine za Odax Njuguma

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: ZK ACTER

Umepakuliwa mara 353 | Umetazamwa mara 981

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni nani, bwana ni nani, bwa na ni na ni atakaye kaa katika hema yakox2 ata kaye fanya maskani,atakaye fanya maskaini atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu. 1.Niyeye asemayekweli kwa bwana asiyesingizia kwa ulimi wake. 2.Ni yeye mwaminifu kweli nahaki atendaye kweli kwa moyo wake wote. 3.Ni yeye asimtende mwenziwe mabaya wala hakumsengenya jirani ya ke.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa