Mtunzi: Emmanuel W. Shimbala
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel W. Shimbala
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Emmanuel Shimbala
Umepakuliwa mara 992 | Umetazamwa mara 2,941
Download Nota Download MidiTumezitafakari fadhili zako Bwana ://: Katikati ya hekalu (heka) hekalu lako takatifu kama lilivyo jina lako Mungu Ee Mungu (ndivyo) ndivyo na sifa yako hata miisho ya Dunia ://
1. Mkono wako wa kuume mkono wako wa kuume mkono wako, ume-jaa haki.
2. Zitazameni kuta zake na kuchunguza ngome zake Bwana, huyu ndiye Mungu wetu